Ayubu 32:13
Job 32:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Msiseme, ‘Tumepata hekima; Mungu na amthibitishe kuwa mwongo, wala si mwanadamu.’
Job 32:13 in English
Job 32:13 · Berean Standard Bible
So do not claim, ‘We have found wisdom; let God, not man, refute him.’
Context
11Nilingojea mlipokuwa mnaongea,
nilizisikiliza hoja zenu;
mlipokuwa mkitafuta maneno ya kusema, 12niliwasikiliza kwa makini.
Lakini hakuna hata mmoja wenu
aliyethibitisha kwamba Ayubu amekosa;
hakuna hata mmoja wenu
aliyeweza kujibu hoja zake. 13Msiseme, ‘Tumepata hekima;
Mungu na amthibitishe kuwa mwongo,
wala si mwanadamu.’ 14Lakini Ayubu hajayapanga maneno yake dhidi yangu,
nami sitamjibu kwa kutumia hoja zenu. 15“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema;
maneno yamewaishia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.