Ayubu 31:37
Job 31:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, ningemwendea kama mwana wa mfalme.)
Job 31:37 in English
Job 31:37 · Berean Standard Bible
I would give account of all my steps; I would approach Him like a prince.)—
Context
35(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia!
Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu:
Mwenyezi na anijibu;
mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi. 36Hakika ningeyavaa begani mwangu,
ningeyavaa kama taji. 37Ningempa hesabu ya kila hatua yangu,
ningemwendea kama mwana wa mfalme.) 38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu,
na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, 39kama nimekula mazao yake bila malipo,
au kuvunja mioyo ya wapangaji wake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.