Native Bible

Job 31:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kama nimekula mazao yake bila malipo, au kuvunja mioyo ya wapangaji wake,

Job 31:39 in English

Job 31:39 · Berean Standard Bible

if I have devoured its produce without payment or broken the spirit of its tenants,

Context

37Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, ningemwendea kama mwana wa mfalme.) 38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, 39kama nimekula mazao yake bila malipo, au kuvunja mioyo ya wapangaji wake, 40basi miiba na iote badala ya ngano, na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa maneno ya Ayubu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.