Ayubu 31:38
Job 31:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, na mifereji yake yote imelowana kwa machozi,
Job 31:38 in English
Job 31:38 · Berean Standard Bible
if my land cries out against me and its furrows weep together,
Context
36Hakika ningeyavaa begani mwangu,
ningeyavaa kama taji. 37Ningempa hesabu ya kila hatua yangu,
ningemwendea kama mwana wa mfalme.) 38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu,
na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, 39kama nimekula mazao yake bila malipo,
au kuvunja mioyo ya wapangaji wake, 40basi miiba na iote badala ya ngano,
na magugu badala ya shayiri.”
Mwisho wa maneno ya Ayubu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.