Native Bible

Job 31:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika ningeyavaa begani mwangu, ningeyavaa kama taji.

Job 31:36 in English

Job 31:36 · Berean Standard Bible

Surely I would carry it on my shoulder and wear it like a crown.

Context

34kwa sababu ya kuogopa umati wa watu, na hivyo kuwa na hofu ya kudharauliwa na jamaa, nikanyamaza kimya nisitoke nje ya mlango: 35(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia! Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu: Mwenyezi na anijibu; mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi. 36Hakika ningeyavaa begani mwangu, ningeyavaa kama taji. 37Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, ningemwendea kama mwana wa mfalme.) 38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, na mifereji yake yote imelowana kwa machozi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.