Native Bible

Job 29:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilikuwa macho ya kipofu na miguu kwa kiwete.

Job 29:15 in English

Job 29:15 · Berean Standard Bible

I served as eyes to the blind and as feet to the lame.

Context

13Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, nami niliufanya moyo wa mjane kuimba. 14Niliivaa haki kama vazi langu; uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu. 15Nilikuwa macho ya kipofu na miguu kwa kiwete. 16Nilikuwa baba kwa mhitaji; nilimtetea mgeni. 17Niliyavunja meno makali ya waovu, na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.