Ayubu 29:13
Job 29:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, nami niliufanya moyo wa mjane kuimba.
Job 29:13 in English
Job 29:13 · Berean Standard Bible
The dying man blessed me, and I made the widow’s heart sing for joy.
Context
11Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu,
nao walioniona walinisifu, 12kwa sababu nilimwokoa maskini aliyeomba msaada,
naye yatima aliyekuwa hana wa kumsaidia. 13Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki,
nami niliufanya moyo wa mjane kuimba. 14Niliivaa haki kama vazi langu;
uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu. 15Nilikuwa macho ya kipofu
na miguu kwa kiwete.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.