Native Bible

Job 29:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niliivaa haki kama vazi langu; uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu.

Job 29:14 in English

Job 29:14 · Berean Standard Bible

I put on righteousness, and it clothed me; justice was my robe and my turban.

Context

12kwa sababu nilimwokoa maskini aliyeomba msaada, naye yatima aliyekuwa hana wa kumsaidia. 13Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, nami niliufanya moyo wa mjane kuimba. 14Niliivaa haki kama vazi langu; uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu. 15Nilikuwa macho ya kipofu na miguu kwa kiwete. 16Nilikuwa baba kwa mhitaji; nilimtetea mgeni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.