Native Bible

Job 29:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilikuwa baba kwa mhitaji; nilimtetea mgeni.

Job 29:16 in English

Job 29:16 · Berean Standard Bible

I was a father to the needy, and I took up the case of the stranger.

Context

14Niliivaa haki kama vazi langu; uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu. 15Nilikuwa macho ya kipofu na miguu kwa kiwete. 16Nilikuwa baba kwa mhitaji; nilimtetea mgeni. 17Niliyavunja meno makali ya waovu, na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao. 18“Nikafikiri, ‘Nitafia katika nyumba yangu mwenyewe, nazo siku zangu zitakuwa nyingi kama chembechembe za mchanga.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.