Ayubu 29:17
Job 29:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niliyavunja meno makali ya waovu, na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao.
Job 29:17 in English
Job 29:17 · Berean Standard Bible
I shattered the fangs of the unjust and snatched the prey from his teeth.
Context
15Nilikuwa macho ya kipofu
na miguu kwa kiwete. 16Nilikuwa baba kwa mhitaji;
nilimtetea mgeni. 17Niliyavunja meno makali ya waovu,
na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao. 18“Nikafikiri, ‘Nitafia katika nyumba yangu mwenyewe,
nazo siku zangu zitakuwa nyingi kama chembechembe za mchanga. 19Mizizi yangu itafika mpaka kwenye maji,
nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.