Native Bible

Job 29:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mizizi yangu itafika mpaka kwenye maji, nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha.

Job 29:19 in English

Job 29:19 · Berean Standard Bible

My roots will spread out to the waters, and the dew will rest nightly on my branches.

Context

17Niliyavunja meno makali ya waovu, na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao. 18“Nikafikiri, ‘Nitafia katika nyumba yangu mwenyewe, nazo siku zangu zitakuwa nyingi kama chembechembe za mchanga. 19Mizizi yangu itafika mpaka kwenye maji, nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha. 20Utukufu wangu utabakia kuwa mpya ndani yangu, upinde wangu daima utaendelea kuwa mpya mkononi mwangu.’ 21“Watu walinisikiliza kwa tumaini, wakingojea ushauri wangu kwa utulivu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.