Ayubu 29:21
Job 29:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Watu walinisikiliza kwa tumaini, wakingojea ushauri wangu kwa utulivu.
Job 29:21 in English
Job 29:21 · Berean Standard Bible
Men listened to me with expectation, waiting silently for my counsel.
Context
19Mizizi yangu itafika mpaka kwenye maji,
nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha. 20Utukufu wangu utabakia kuwa mpya ndani yangu,
upinde wangu daima utaendelea kuwa mpya mkononi mwangu.’ 21“Watu walinisikiliza kwa tumaini,
wakingojea ushauri wangu kwa utulivu. 22Baada ya mimi kuzungumza, hawakusema zaidi;
maneno yangu yaliingia masikioni mwao kwa makini. 23Waliningojea kama manyunyu ya mvua
na kuyapokea maneno yangu
kama ardhi inyonyavyo mvua ya vuli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.