Ayubu 23:15
Job 23:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hiyo ndiyo sababu ninaingiwa na hofu mbele zake; nifikiriapo haya yote ninamwogopa.
Job 23:15 in English
Job 23:15 · Berean Standard Bible
Therefore I am terrified in His presence; when I consider this, I fear Him.
Context
13“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga?
Yeye hufanya lolote atakalo. 14Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu,
na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba. 15Hiyo ndiyo sababu ninaingiwa na hofu mbele zake;
nifikiriapo haya yote ninamwogopa. 16Mungu ameufanya moyo wangu kuzimia;
yeye Mwenyezi amenitia hofu. 17Hata hivyo sijanyamazishwa na giza,
wala kwa giza nene linalofunika uso wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.