Native Bible

Job 23:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu ameufanya moyo wangu kuzimia; yeye Mwenyezi amenitia hofu.

Job 23:16 in English

Job 23:16 · Berean Standard Bible

God has made my heart faint; the Almighty has terrified me.

Context

14Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu, na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba. 15Hiyo ndiyo sababu ninaingiwa na hofu mbele zake; nifikiriapo haya yote ninamwogopa. 16Mungu ameufanya moyo wangu kuzimia; yeye Mwenyezi amenitia hofu. 17Hata hivyo sijanyamazishwa na giza, wala kwa giza nene linalofunika uso wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.