Native Bible

Job 22:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia.

Job 22:21 in English

Job 22:21 · Berean Standard Bible

Reconcile now and be at peace with Him; thereby good will come to you.

Context

19“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema, 20‘Hakika adui zetu wameangamizwa, nao moto umeteketeza mali zao.’ 21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia. 22Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake, na maneno yake uyaweke moyoni mwako. 23Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.