Native Bible

Job 22:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema,

Job 22:19 in English

Job 22:19 · Berean Standard Bible

The righteous see it and are glad; the innocent mock them:

Context

17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 18Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri, hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu. 19“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema, 20‘Hakika adui zetu wameangamizwa, nao moto umeteketeza mali zao.’ 21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.