Native Bible

Job 22:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri, hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu.

Job 22:18 in English

Job 22:18 · Berean Standard Bible

But it was He who filled their houses with good things; so I stay far from the counsel of the wicked.

Context

16Waliondolewa kabla ya wakati wao, misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. 17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 18Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri, hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu. 19“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema, 20‘Hakika adui zetu wameangamizwa, nao moto umeteketeza mali zao.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.