Ayubu 22:20
Job 22:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
‘Hakika adui zetu wameangamizwa, nao moto umeteketeza mali zao.’
Job 22:20 in English
Job 22:20 · Berean Standard Bible
‘Surely our foes are destroyed, and fire has consumed their excess.’
Context
18Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri,
hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu. 19“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi,
nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema, 20‘Hakika adui zetu wameangamizwa,
nao moto umeteketeza mali zao.’ 21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani,
ndipo mema yatakapokujia. 22Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake,
na maneno yake uyaweke moyoni mwako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.