Ayubu 22:17
Job 22:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’
Job 22:17 in English
Job 22:17 · Berean Standard Bible
They said to God, ‘Depart from us. What can the Almighty do to us?’
Context
15Je, utaifuata njia ya zamani,
ambayo watu waovu waliikanyaga? 16Waliondolewa kabla ya wakati wao,
misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. 17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi!
Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 18Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri,
hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu. 19“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi,
nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.