Native Bible

Job 22:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, utaifuata njia ya zamani, ambayo watu waovu waliikanyaga?

Job 22:15 in English

Job 22:15 · Berean Standard Bible

Will you stay on the ancient path that wicked men have trod?

Context

13Hivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’ Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo? 14Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi atembeapo juu ya anga la dunia. 15Je, utaifuata njia ya zamani, ambayo watu waovu waliikanyaga? 16Waliondolewa kabla ya wakati wao, misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. 17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.