Ayubu 22:13
Job 22:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’ Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo?
Job 22:13 in English
Job 22:13 · Berean Standard Bible
Yet you say: ‘What does God know? Does He judge through thick darkness?
Context
11ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona,
tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. 12“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu?
Juu kuliko nyota zilizo juu sana! 13Hivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’
Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo? 14Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi
atembeapo juu ya anga la dunia. 15Je, utaifuata njia ya zamani,
ambayo watu waovu waliikanyaga?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.