Native Bible

Job 22:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi atembeapo juu ya anga la dunia.

Job 22:14 in English

Job 22:14 · Berean Standard Bible

Thick clouds veil Him so He does not see us as He traverses the vault of heaven.*’

Context

12“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu? Juu kuliko nyota zilizo juu sana! 13Hivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’ Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo? 14Mawingu mazito ni pazia lake, hivyo hatuoni sisi atembeapo juu ya anga la dunia. 15Je, utaifuata njia ya zamani, ambayo watu waovu waliikanyaga? 16Waliondolewa kabla ya wakati wao, misingi yao ikachukuliwa na mafuriko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.