Ayubu 22:23
Job 22:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako,
Job 22:23 in English
Job 22:23 · Berean Standard Bible
If you return to the Almighty, you will be restored. If you remove injustice from your tents
Context
21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani,
ndipo mema yatakapokujia. 22Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake,
na maneno yake uyaweke moyoni mwako. 23Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya:
Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako, 24kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi,
dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni, 25ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako,
naye atakuwa fedha yako iliyo bora.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.