Native Bible

Job 22:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, naye atakuwa fedha yako iliyo bora.

Job 22:25 in English

Job 22:25 · Berean Standard Bible

then the Almighty will be your gold and the finest silver for you.

Context

23Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako, 24kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni, 25ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, naye atakuwa fedha yako iliyo bora. 26Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, nawe utamwinulia Mungu uso wako. 27Utamwomba yeye, naye atakusikia, nawe utazitimiza nadhiri zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.