Native Bible

Job 22:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, nawe utamwinulia Mungu uso wako.

Job 22:26 in English

Job 22:26 · Berean Standard Bible

Surely then you will delight in the Almighty and lift up your face to God.

Context

24kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni, 25ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, naye atakuwa fedha yako iliyo bora. 26Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, nawe utamwinulia Mungu uso wako. 27Utamwomba yeye, naye atakusikia, nawe utazitimiza nadhiri zako. 28Utakusudia jambo nalo litatendeka, nao mwanga utaangazia njia zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.