Ayubu 22:28
Job 22:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utakusudia jambo nalo litatendeka, nao mwanga utaangazia njia zako.
Job 22:28 in English
Job 22:28 · Berean Standard Bible
Your decisions will be carried out, and light will shine on your ways.
Context
26Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi,
nawe utamwinulia Mungu uso wako. 27Utamwomba yeye, naye atakusikia,
nawe utazitimiza nadhiri zako. 28Utakusudia jambo nalo litatendeka,
nao mwanga utaangazia njia zako. 29Watu watakaposhushwa, nawe ukasema, ‘Wainue!’
ndipo atamwokoa aliyevunjika moyo. 30Atamwokoa hata yule ambaye ana hatia,
ataokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.