Native Bible

Job 21:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri, mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya.

Job 21:27 in English

Job 21:27 · Berean Standard Bible

Behold, I know your thoughts full well, the schemes by which you would wrong me.

Context

25Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi, akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri. 26Hao wote hulala mavumbini, nao mabuu huwafunika wote. 27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri, mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya. 28Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu, mahema ambayo watu waovu walikaa?’ 29Je, hamkuwahi kuwauliza hao wanaosafiri? Je, hamkutafakari taarifa zao:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.