Ayubu 21:26
Job 21:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hao wote hulala mavumbini, nao mabuu huwafunika wote.
Job 21:26 in English
Job 21:26 · Berean Standard Bible
But together they lie down in the dust, and worms cover them both.
Context
24mwili wake ukiwa umenawiri,
nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake. 25Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi,
akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri. 26Hao wote hulala mavumbini,
nao mabuu huwafunika wote. 27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri,
mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya. 28Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu,
mahema ambayo watu waovu walikaa?’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.