Native Bible

Job 21:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwili wake ukiwa umenawiri, nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake.

Job 21:24 in English

Job 21:24 · Berean Standard Bible

His body is well nourished,* and his bones are rich with marrow.

Context

22“Je, yuko mtu yeyote awezaye kumfundisha Mungu maarifa, iwapo yeye ndiye ahukumuye hata walio juu ya wote? 23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, akiwa salama na mwenye raha kamili, 24mwili wake ukiwa umenawiri, nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake. 25Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi, akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri. 26Hao wote hulala mavumbini, nao mabuu huwafunika wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.