Ayubu 21:22
Job 21:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Je, yuko mtu yeyote awezaye kumfundisha Mungu maarifa, iwapo yeye ndiye ahukumuye hata walio juu ya wote?
Job 21:22 in English
Job 21:22 · Berean Standard Bible
Can anyone teach knowledge to God, since He judges those on high?
Context
20Macho yake mwenyewe na yaone maangamizi yake;
yeye na ainywe ghadhabu ya Mwenyezi. 21Kwani anajali nini kuhusu jamaa anayoiacha nyuma,
miezi yake aliyopangiwa ifikapo mwisho? 22“Je, yuko mtu yeyote awezaye kumfundisha Mungu maarifa,
iwapo yeye ndiye ahukumuye hata walio juu ya wote? 23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili,
akiwa salama na mwenye raha kamili, 24mwili wake ukiwa umenawiri,
nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.