Ayubu 21:23
Job 21:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, akiwa salama na mwenye raha kamili,
Job 21:23 in English
Job 21:23 · Berean Standard Bible
One man dies full of vigor, completely secure and at ease.
Context
21Kwani anajali nini kuhusu jamaa anayoiacha nyuma,
miezi yake aliyopangiwa ifikapo mwisho? 22“Je, yuko mtu yeyote awezaye kumfundisha Mungu maarifa,
iwapo yeye ndiye ahukumuye hata walio juu ya wote? 23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili,
akiwa salama na mwenye raha kamili, 24mwili wake ukiwa umenawiri,
nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake. 25Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi,
akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.