Native Bible

Job 21:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi, akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri.

Job 21:25 in English

Job 21:25 · Berean Standard Bible

Yet another man dies in the bitterness of his soul, having never tasted prosperity.

Context

23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, akiwa salama na mwenye raha kamili, 24mwili wake ukiwa umenawiri, nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake. 25Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi, akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri. 26Hao wote hulala mavumbini, nao mabuu huwafunika wote. 27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri, mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.