Native Bible

Job 21:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu, mahema ambayo watu waovu walikaa?’

Job 21:28 in English

Job 21:28 · Berean Standard Bible

For you say, ‘Where now is the nobleman’s house, and where are the tents in which the wicked dwell?’

Context

26Hao wote hulala mavumbini, nao mabuu huwafunika wote. 27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri, mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya. 28Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu, mahema ambayo watu waovu walikaa?’ 29Je, hamkuwahi kuwauliza hao wanaosafiri? Je, hamkutafakari taarifa zao: 30kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa, kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.