Ayubu 21:29
Job 21:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, hamkuwahi kuwauliza hao wanaosafiri? Je, hamkutafakari taarifa zao:
Job 21:29 in English
Job 21:29 · Berean Standard Bible
Have you never asked those who travel the roads? Do you not accept their reports?
Context
27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri,
mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya. 28Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu,
mahema ambayo watu waovu walikaa?’ 29Je, hamkuwahi kuwauliza hao wanaosafiri?
Je, hamkutafakari taarifa zao: 30kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa,
kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu? 31Ni nani hulaumu matendo yake mbele ya uso wake?
Ni nani ampatilizaye kwa yale aliyoyatenda?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.