Native Bible

Job 20:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna chochote kitakachosalia kwa ajili yake ili ale; kufanikiwa kwake hakutadumu.

Job 20:21 in English

Job 20:21 · Berean Standard Bible

Nothing is left for him to consume; thus his prosperity will not endure.

Context

19Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga. 20“Hakika hatakuwa na raha katika kutamani kwake sana; hawezi kujiokoa mwenyewe kwa hazina zake. 21Hakuna chochote kitakachosalia kwa ajili yake ili ale; kufanikiwa kwake hakutadumu. 22Katikati ya wingi wa ustawi wake, dhiki itampata; taabu itamjia kwa nguvu zote. 23Atakapokuwa amelijaza tumbo lake, Mungu ataionyesha ghadhabu kali dhidi yake, na kumnyeshea mapigo juu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.