Native Bible

Job 20:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katikati ya wingi wa ustawi wake, dhiki itampata; taabu itamjia kwa nguvu zote.

Job 20:22 in English

Job 20:22 · Berean Standard Bible

In the midst of his plenty, he will be distressed; the full force of misery will come upon him.

Context

20“Hakika hatakuwa na raha katika kutamani kwake sana; hawezi kujiokoa mwenyewe kwa hazina zake. 21Hakuna chochote kitakachosalia kwa ajili yake ili ale; kufanikiwa kwake hakutadumu. 22Katikati ya wingi wa ustawi wake, dhiki itampata; taabu itamjia kwa nguvu zote. 23Atakapokuwa amelijaza tumbo lake, Mungu ataionyesha ghadhabu kali dhidi yake, na kumnyeshea mapigo juu yake. 24Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, mshale wa shaba utamchoma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.