Ayubu 20:24
Job 20:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, mshale wa shaba utamchoma.
Job 20:24 in English
Job 20:24 · Berean Standard Bible
Though he flees from an iron weapon, a bronze-tipped arrow will pierce him.
Context
22Katikati ya wingi wa ustawi wake, dhiki itampata;
taabu itamjia kwa nguvu zote. 23Atakapokuwa amelijaza tumbo lake,
Mungu ataionyesha ghadhabu kali dhidi yake,
na kumnyeshea mapigo juu yake. 24Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma,
mshale wa shaba utamchoma. 25Atauchomoa katika mgongo wake,
ncha ingʼaayo kutoka ini lake.
Vitisho vitakuja juu yake; 26giza nene linavizia hazina zake.
Moto usiopepewa na mtu utamteketeza,
na kuangamiza yaliyosalia nyumbani mwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.