Native Bible

Job 20:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atauchomoa katika mgongo wake, ncha ingʼaayo kutoka ini lake. Vitisho vitakuja juu yake;

Job 20:25 in English

Job 20:25 · Berean Standard Bible

It is drawn out of his back, the gleaming point from his liver.* Terrors come over him.

Context

23Atakapokuwa amelijaza tumbo lake, Mungu ataionyesha ghadhabu kali dhidi yake, na kumnyeshea mapigo juu yake. 24Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, mshale wa shaba utamchoma. 25Atauchomoa katika mgongo wake, ncha ingʼaayo kutoka ini lake. Vitisho vitakuja juu yake; 26giza nene linavizia hazina zake. Moto usiopepewa na mtu utamteketeza, na kuangamiza yaliyosalia nyumbani mwake. 27Mbingu zitaweka wazi hatia yake, nayo nchi itainuka kinyume chake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.