Native Bible

Job 20:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga.

Job 20:19 in English

Job 20:19 · Berean Standard Bible

For he has oppressed and forsaken the poor; he has seized houses he did not build.

Context

17Hatafurahia vijito, mito inayotiririsha asali na siagi. 18Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; hatafurahia faida itokanayo na biashara yake. 19Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga. 20“Hakika hatakuwa na raha katika kutamani kwake sana; hawezi kujiokoa mwenyewe kwa hazina zake. 21Hakuna chochote kitakachosalia kwa ajili yake ili ale; kufanikiwa kwake hakutadumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.