Native Bible

Job 20:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hatafurahia vijito, mito inayotiririsha asali na siagi.

Job 20:17 in English

Job 20:17 · Berean Standard Bible

He will not enjoy the streams, the rivers flowing with honey and cream.

Context

15Atatema mali alizozimeza; Mungu atalifanya tumbo lake kuzitapika. 16Atanyonya sumu za majoka; meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua. 17Hatafurahia vijito, mito inayotiririsha asali na siagi. 18Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; hatafurahia faida itokanayo na biashara yake. 19Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.