Ayubu 20:16
Job 20:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Atanyonya sumu za majoka; meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua.
Job 20:16 in English
Job 20:16 · Berean Standard Bible
He will suck the poison of cobras; the fangs of a viper will kill him.
Context
14Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake,
nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake. 15Atatema mali alizozimeza;
Mungu atalifanya tumbo lake kuzitapika. 16Atanyonya sumu za majoka;
meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua. 17Hatafurahia vijito,
mito inayotiririsha asali na siagi. 18Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila;
hatafurahia faida itokanayo na biashara yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.