Ayubu 20:15
Job 20:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Atatema mali alizozimeza; Mungu atalifanya tumbo lake kuzitapika.
Job 20:15 in English
Job 20:15 · Berean Standard Bible
He swallows wealth but vomits it out; God will force it from his stomach.
Context
13ingawa hawezi kukubali kuuachia uende,
lakini huuweka kinywani mwake. 14Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake,
nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake. 15Atatema mali alizozimeza;
Mungu atalifanya tumbo lake kuzitapika. 16Atanyonya sumu za majoka;
meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua. 17Hatafurahia vijito,
mito inayotiririsha asali na siagi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.