Ayubu 20:13
Job 20:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ingawa hawezi kukubali kuuachia uende, lakini huuweka kinywani mwake.
Job 20:13 in English
Job 20:13 · Berean Standard Bible
though he cannot bear to let it go and keeps it in his mouth,
Context
11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake,
zitalala naye mavumbini. 12“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake
naye huuficha chini ya ulimi wake, 13ingawa hawezi kukubali kuuachia uende,
lakini huuweka kinywani mwake. 14Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake,
nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake. 15Atatema mali alizozimeza;
Mungu atalifanya tumbo lake kuzitapika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.