Native Bible

Job 20:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake naye huuficha chini ya ulimi wake,

Job 20:12 in English

Job 20:12 · Berean Standard Bible

Though evil is sweet in his mouth and he conceals it under his tongue,

Context

10Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyangʼanya watu. 11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, zitalala naye mavumbini. 12“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake naye huuficha chini ya ulimi wake, 13ingawa hawezi kukubali kuuachia uende, lakini huuweka kinywani mwake. 14Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake, nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.