Native Bible

Job 20:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, zitalala naye mavumbini.

Job 20:11 in English

Job 20:11 · Berean Standard Bible

The youthful vigor that fills his bones will lie down with him in the dust.

Context

9Jicho lililomwona halitamwona tena; mahali pake hapatamwona tena. 10Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyangʼanya watu. 11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, zitalala naye mavumbini. 12“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake naye huuficha chini ya ulimi wake, 13ingawa hawezi kukubali kuuachia uende, lakini huuweka kinywani mwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.