Native Bible

Job 20:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyangʼanya watu.

Job 20:10 in English

Job 20:10 · Berean Standard Bible

His sons will seek the favor of the poor, for his own hands must return his wealth.

Context

8Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena, amefukuziwa mbali kama maono ya usiku. 9Jicho lililomwona halitamwona tena; mahali pake hapatamwona tena. 10Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyangʼanya watu. 11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, zitalala naye mavumbini. 12“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake naye huuficha chini ya ulimi wake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.