Native Bible

Job 20:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena, amefukuziwa mbali kama maono ya usiku.

Job 20:8 in English

Job 20:8 · Berean Standard Bible

He will fly away like a dream, never to be found; he will be chased away like a vision in the night.

Context

6Ingawa kujikweza kwake hufikia mbinguni na kichwa chake hugusa mawingu, 7ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe. Wale waliomwona watauliza, ‘Yuko wapi?’ 8Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena, amefukuziwa mbali kama maono ya usiku. 9Jicho lililomwona halitamwona tena; mahali pake hapatamwona tena. 10Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyangʼanya watu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.