Ayubu 20:6
Job 20:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ingawa kujikweza kwake hufikia mbinguni na kichwa chake hugusa mawingu,
Job 20:6 in English
Job 20:6 · Berean Standard Bible
Though his arrogance reaches the heavens, and his head touches the clouds,
Context
4“Hakika unajua jinsi ilivyokuwa tangu zamani,
tangu zamani mwanadamu alipowekwa duniani, 5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi,
nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu. 6Ingawa kujikweza kwake hufikia mbinguni
na kichwa chake hugusa mawingu, 7ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe.
Wale waliomwona watauliza, ‘Yuko wapi?’ 8Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena,
amefukuziwa mbali kama maono ya usiku.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.