Native Bible

Job 20:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hakika unajua jinsi ilivyokuwa tangu zamani, tangu zamani mwanadamu alipowekwa duniani,

Job 20:4 in English

Job 20:4 · Berean Standard Bible

Do you not know that from antiquity, since man was placed on the earth,

Context

2“Mawazo yanayonisumbua yananisukuma kujibu, kwa sababu nimehangaika sana. 3Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu. 4“Hakika unajua jinsi ilivyokuwa tangu zamani, tangu zamani mwanadamu alipowekwa duniani, 5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu. 6Ingawa kujikweza kwake hufikia mbinguni na kichwa chake hugusa mawingu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.