Native Bible

Job 20:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mawazo yanayonisumbua yananisukuma kujibu, kwa sababu nimehangaika sana.

Job 20:2 in English

Job 20:2 · Berean Standard Bible

“So my anxious thoughts compel me to answer, because of the turmoil within me.

Context

1Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu: 2“Mawazo yanayonisumbua yananisukuma kujibu, kwa sababu nimehangaika sana. 3Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu. 4“Hakika unajua jinsi ilivyokuwa tangu zamani, tangu zamani mwanadamu alipowekwa duniani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.